Advertisement

Hoteli ya Pride Inn Mombasa yafungwa kutokana na Corona

Hoteli ya Pride Inn Mombasa yafungwa kutokana na Corona Moja ya hoteli kubwa ya kitalii katika kaunti ya Mombasa hii leo inafungwa kutokana na kuwa haiwezi kumudu biashara kwa wakati huu. Usimamizi wa hoteli ya Pride Inn umechukua hatua hiyo kutokana na ukosefu wa wateja.

Pride Inn,Mombasa,Corona,

Post a Comment

0 Comments